Baadhi ya nchi huongeza dakika 1 au 2 kama tahadhari.
Fuata hatua hizi:
1-Fungua programu ya Al-Musalli.
2-Angalia nyakati za Swala na muda uliobaki (kwa mfano Maghrib).
3- Fungua menyu ya pembeni
4- Chagua Mipangilio (Settings).
5-Chagua Kurekebisha nyakati za Swala.
6- Badilisha wakati unaotaka kwa kuongeza au kupunguza.
7- Utaona athari ya marekebisho juu ya skrini.
8-Kisha rudi kwenye skrini kuu ya programu.